Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbagala, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa bei laki 3 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 3 nakuendelea. Nyumba IPO mbagala mbande kisewe stendi umbali wake kutoka kwenye kituo cha daladala hadi kwenye nyumba ni kama mwendo wa dakika 5 ivi kwa kutembea kwa miguu. Nyumba ina rooms 3 vyakulala sitting room, dinning room, jiko, room moja ni master bedroom, public toilet ipo, store, tiliz, madilisha vioo, mafeni juu panga boy yapo, paving blocks chini zpo, umeme unajitegemea luku yk pamoja na maji pia mita yk, na fensi ya parking ipo pia. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 071925 0426.


















