Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba inapangishwa bei laki 2 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 5 nakuendelea. Nyumba ipo mbagala maji matitu location chasimba, nyumba ina rooms 3 vyakulala sitting room, dinning room, jiko, room moja ni master bedroom, public toilet ipo, tiliz, madilisha vioo, fensi ya parking ipo, umeme unajitegemea luku yk pamoja na maji pia mita yk, ni stand alone. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 0719250426.