Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbagala, Dar Es Salaam







KUPANGA UTAKE WEWE SASA, NYUMBA YA TSHS. 15 MILIONI, MBAGALA KUU.
Hiì ni nyumba yaenye jumla vyumba vitatu (3) chumba kimoja ni Masta, Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 300.
Umiliki ni LESENI YA MAKAZI.
Ipo umbali wa mita 100 tu kutoka Barabara ya Lami ya KIJICHI.
Maboresho yanayohitajika ni madogo.
Na watu wanaishi.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.