Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







(300,000X6)MBEZI KWA MSUGURI 2.5KM BAJAJI 700
____________
#STAND ALONE HOUSE FOR RENT/NYUMBA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGISHWA KWAMSUGURI
Vyumba 3 vya kulala kimojawapo master bedroom pia kina kabati sebule kubwa dainin kubwa jiko kubwa na public toilet
FULL A/C NDANI YA NYUMBA
Kodi 300,000 kwa mwezi × 5
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YANAFLOO NDANI KILA SEHEMU PARKING IPO
Umbali kutoka kituoni wa km 2.5 usafiri upo wakutosha bajaji 500
Boda 1500
Kupelekwa kuona nyumba 20,000/=
___________
CONTACT US:
0716223412
0618976024



















