Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
STAND ALONE NYUMBA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6
RANGI ITAPIGWA NJE NA NDANI
πNYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LITAWEKWA MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#SEHEMU KUBWA UKITAKA KUFUGA
BEI NI 400,000/= X 6
ππNYUMBA HII IPO KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DAKIKA 5 NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA