Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
π£STAND ALONE Kubwa Inapangishwa
MBEZI MWISHO Karibu Kabisa Na Round About Y Daraja La Magufuli Bus Terminal
π Kodi Tsh 700,000/= Γ6
_
___________
#Umbali wa Dakika 5 tu kwenda Kituo cha Mabasi ya Endayo mikoani (Magufuli Bus Terminal)
β’ Vyumba 3 vya Kulala (Vyumba 2 kati ya hivyo ni Master)
β’ Sebule Kubwa
β’ Dinning
β’ Majiko Mawili (Ndani na Nje)
β’ Store
β’ Public Toilet Nzuri ya Ndani
* Iko kwenye Fensi yenyewe
* Parking Kubwa
* Mazingira Mazuri na Tulivu
* Nyumba bado Mpya
_______
#Malipobya Dalali Nasoni ni 700,000/=
#Kupelekwa kuona ni 15,000/=
#0753172516