Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
TEMBEA NA KIBUNDA SASA, BEI IMEPUNGUWA WAHI ππ»ππ»ββοΈ
#STAND ALONE/ INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGISHWA MBEZI INN
NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA NA VIWILI MASTER BEDROOM
PIA KUNA CHUMBA KIMOJA CHA NJE( SERVANT CORTER)
Sebule kubwa
Dining room
Jiko la kisasa ndani na nje
Public toilet
Luku
Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Full a/c
Garden π‘
Heater
Full security
Parking kuuuuubwaaaa sanaaa
Umbali KM 1.5 Usafiri bajaji au pikipiki 1000
Kodi 500,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :---
0713320608
0686334182