Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
.
(200,000X6)MBEZI KWA MSUGURI 2.5KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 1000
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
#STEND_ALONE
NINYUMBA INAYOJITEGEMEA YENYEWE HAKUNA FENCE HAPA
BEI NI 200,000/= X 5,6
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#DAINING
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
UMEME NA MAJI VIPO UNAJITEGEMEA UMBALI KM 2.5 KWAGARI PIKIPIKI SH 1500
BEI NI 200,000/= X 6
💥 KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
076223412
0683597343