Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







(400,000X6)MBEZI KWA MSUGULI 2KM KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
STEND ALONE NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 2
SIFA ZAKE:
VYUMBA 3 VITATU VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
DINING TABLE
JIKO
PUBLIC TOILET NDANI
IPO YENYEWE NDANI YA FENCE
INAJITEGEMEA KWA KILA KITU
KODI 400,000 X 6
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024