Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
🇹🇿NYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAUZWA
PAMOJA NA SERVANT COTER YAKE YA CHUMBA MASTER NA SEBULE YA KISASA
#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING ROOM
#JIKO KUBWA
#STORE KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
#NYUMBA HII INA MPANGAJI ANALIPA KODI 300,000 KWA MWEZI
#PIA KUNA SERVANT COTER YA CHUMBA MASTER NA SEBULE
UKUBWA WA KIWANJA CHAKE NI UPANA NI 25 METERS NA UREFU NI 30 METERS ( 25/30 METERS)
DOCUMENTS: MAUZIANO HALALI YA KISHERIA NA SERIKALI YA MTAA / ENEO LIMEPIMWA
BEI NI MILIONI 90 MAONGEZI YAPO NDUGU MTEJA
💫💫 NYUMBA HII YA KUUZWA IPO MBEZI BARABARA YA KUELEKEA MPIGI MAGOHE NJIA INAYOWEKWA LAMI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 3 NA USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE USAFIRI UNATEMBEA DK 3 TUU UPO KWENYE NYUMBA
NOTE:- ENEO LIMEPIMWA NA KWENYE NYUMBA KUNA MPANGAJI ANALIPA 300,000 KWA MWEZI
SERVICE CHARGE 30,000
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp