Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE MBEZI MWISHO NYUMA YA STEND YA MKOWA KM1 KUTOKA LAMI
-------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Dinning room
Luku yako
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Heater ya maji moto maji baridi
Ndani ya fence
Parking space kubwa
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 600,000/=×6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 6
-----------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏