Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA YA FAMILY INA PANGISHWA
LOCATION: #KIMARA_SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KODI 500,000X6
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA SANA NA DINNING
JIKONI MAKABATI
STORE KUBWA
PACKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
ZIPO NYUMBA MBILI TU HII KUBWA NA KIMOJA NI CHUMBA MASTER
ZIPO MBALI MBALI SANA
UMBALI NI KM 1.5
BODA 1000 HADI NYUMBANI
NDUGU MTEJA NYUMBA HII UKILIPIA INAPIGWA RANGI YOTE NA SERVICE NDOGO NDOGO UNAKABIDHIWA NYUMBA IKIWA MPYAA KABISA
KUONA NYUMBA HII SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI