Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA MPYAA INAYOJITEGEMEA KWENYE FENSI YA YAWA INAPANGISHWA
LOCATION MBEZI MWISHO LUGULUNI KWEMBE
KODI 250,000X6
UMBALI KM 2
USAFIRI BAJAJI 1000
BODA 1000
SIFA YA NYUMBA
NI VYUMBA VITATU VYA KULALA VIKUBWA SANA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA NA DINNING JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI PIA YANA FLOW NDANI MASAA 24 NA TANK LA LIZEVU
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000
NA BILA KUSAHAU MALIPO YA KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI
###0655256419