Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTIMENT MZURI SANA INAPANGISHWA
IPO TEMBONI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI
KM/ 2 TU KUFIKA USAFIRI BAJAJI BUKU
UKISHUKA DK 3 BODA BUKU MPAKA GETINI
VYUMBA VITATU
(1)MASTER BEDROOM
SITTING ROOM/KITCHEN/PUBLIC TOILET
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI
FULL PEVING BLOCK
KODI 350 X 6
KUONA NYUMBA ELFU 20,000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
CONTACT
CALL/WHATSAPP.....O677370515