Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
NIMEISHUSHA BEI SASA ๐ฅ650K X6 STAND ALONE INAPANGISHWA MBEZI MWISHO KARIBU KABISA NA ROUND ABOUT YA DARAJA LA MAGUFULI BUS TERMINAL..
NYUMBA KUBWA INAYOJITEGEMEA NDANI YA FENCE
INAPANGISHWA
๐ฅKODI YAKE 650K X6
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MBEZI MAGUFULI TERMINAL NI DAKIKA 5 TU KWA MIGUU..
SIFA ZA NYUMBA::--
VYUMBA VITATU VYA KULALA NA VIWILI KATI YA HIVYO, NI MASTER BEDROOMS SEBULE KUBWA, DINNING MAJIKO MAWILI, NDANI NA NJE PAMOJA NA STORE MAKABATI SAFI, NA PUBLIC TOILET NZURI YA NDANI
NYUMBA BADO NI MPYA KABISA,
TILES JIPSUM, SLIDE WINDOW NDANI YA FENCE YA PEKE YAKE PARKING KUBWA.
UMEME LUKU YAKO PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI
ILIPWE SHILINGI LAKI SITA NA NUSU KWA MWEZI NA MUDA WA MALIPO NI MIEZI SITA
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA
SERVICE CHARGE NI TZS.20000
_
#0652472014
#0754344786
__
PIGA SIMUUUUUUUUUUUU