Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APATIMENTI YA KIFAMILIA INAPANGISHWA
IPO MBEZI MAGUFULI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM. 1,5
USAFILI BODA. 1000/
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VITATU 3
KIMOJAWAPO NI MASTER
SEBULE KUBWA SANA
JIKO NA CHOO CHA PABLIC
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
PAKING SPESI KUBWA SANA
ZIPO MBILI KWENYE FENSI
KODI. 400,000/=X6
KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE 20,000 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
DALALI 400,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
kwa maelezo zaidi piga simu O677370515