Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6
NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA SANA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA SANA
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
BEI NI 500,000/ X 6
💫💫 NYUMBA HII KUBWA YA FAMILIA IPO MBEZI MWISHO JIRANI KABISA NA BARABARA IPO NJIA YA KUELEKEA GOBA NA KUTOKA GOBA ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 3 TUU KWA MIGUU
0787 939 898
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA