Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


Villa Mpya Inapangishwa
Mahali : Mbezi Beach(Almas Street), Dar-Es-Salaam, Tanzania 🇹🇿
Ina :
🟢 Vyumba Vitatu Vya Kulala(Vyumba Viwili Masta), Sebule, Jiko la Kisasa na Choo
🟢 Inajitegemea Kwenye Umeme na Maji
Kodi : 3,000,000 Tshs Kwa Mwezi
Itakuwa Wazi Tar 1/12
Ila Kuona Na Kulipia Ruksa
Call 0780533820


















