Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


#MBEZI BEACH UPANDE WA CHINI
Inapangishwa
Vyumba vitatu vya kulala kimoja selfu
Sebule kubwa
Dinning room
Jiko lenye kabati
Car paving block
__________________
Bei lk 800,000. KWA MWEZI
Malipo ya miezi 6.
_________________
Ikumbukwe Nyumba inajitegemea.
Number
#0688396025whatsp
π Mbezibeach (dar es salaam tz π₯.)0688396025.