Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


๐ก๐๐ฃ๐๐ก๐๐๐ฆ๐๐ช๐ (๐ฐ๐ฌ๐ฌ๐ธ ๐ง๐๐ต๐): Ni apartment ya vyumba vitatu (3) vya kulala, chumba kimojawapo kikiwa ni 'MASTER BEDROOM', Sebule, Jiko na choo cha public ndani. Apartment hii ipo ndani ya fensi na zipo mbili tu kwenye compound moja na zote zinajitegemea umeme na maji ya DAWASCO.
๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ฃ๐ข: MBEZI KIBANDA CHA MKAA. Umbali kutoka Morogoro road ni km 2 tu
๐๐๐ ๐ฌ๐๐๐: Laki nne tu (400,000/- Tshs) ร miezi 6 + mwezi mmoja malipo ya Dalali
๐ฆ๐๐ฟ๐๐ฒ๐ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ฟ๐ด๐ฒ kupelekwa kuona nyumba ni Tshs 10,000/- tu. Italipwa mara moja na itatumika hiyo hiyo ikiwa mteja utataka kuona nyumba zingine.
๐ฃ๐๐๐ ๐ฆ๐๐ ๐จ: 0758 892945 (Pia inapatikana WhatsApp)