Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


Inapangishwa
Mahali: Mbezi Beach Africana Chini
Bei: 1,100,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
Ukihitaji Nyumba Yote Ni 2M. Na Fanicha Ukihitaji Mtaongea
☑️Vyumba 3, Vyote Ni Master
☑️Sebule Jiko & Choo
☑️Fensi & Parking Ya Kutosha
☑️Umeme Na Maji Mita Yako
☑️Sehemu Za Kupumzika
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7
Contact. Call 0712531657
0789731695