Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE MBEZI KWA MSUGURI DK10 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
--------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Dinning room
Jiko kubwa
Tiles
Gypsum
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa
----------
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000/=×4
------------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
-----------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏