Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI MWISHO KARIBU NA STEND YA MKOWA
--------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Heater ya maji moto maji baridi
Full air condition
Luku yako
Slide window
Garden safi
Ulinzi free
Electronic fence
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
-----------
Service charge 20,000/=
Kodi 700,000/=×4
-------------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 8
-------------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#Dalali_big_goba_mbezi_beach 🇹🇿