Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


Kodi ni 600,000/= kwa mwezi [Kuanzia miezi mitatu tu (3)]
💎Vyumba 2 kimoja master
💎Sebule kubwa
💎Jiko
💎Dinning Room
💎Public toilet
💎Air Condition
Location: Mbezi Magufuli kwa Yusuph
Umbali wa kutoka lami mpka kwenye nyumba ni kilometa 1 tu
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 20000 kwenda Kuona Nyumba
Mawasiliano 0656623510
WSP 0752436347



















