Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA IPO TEMBONI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI ( SHULE YA ANAZAKI) USAFIRI BODA (1000)
MUUNDO
INAVYUMBA VITATU VYAKULALA KIMOJA MASTER INA SEBULE KUBWA SANA NA DINNING, INAJIKO KUBWA NA PUBLIC TOILET
NYUMBA HAIPO NDANI YA FENSI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 250,000 X 6
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
CALL
0679447338
0753454167