Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







#VYUMBA_VITATU
INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBEZI BEACH AFRICANA
______________
KODI LAKI 900,000KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6
_____________
NI VILLA YA KIFAMILIA
_______
YENYE:-
Vyumba Vitatu vikubwa vya kulala #MASTA #Sebule kubwa #Jiko zuri lenye #makabati #Choo/#Bafu vya ndani public
#Gypsum #Tiles #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo kubwa
Nje #Pavingblocks #Garden
#FencedHouse
____________
PAMOJA NA MALIPO YA KODI YA MWEZI 1 WA dalalimbezibeach_ibra
Call 0743688011