Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 450,000/= X 6 MAONGEZI YAPO
🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#MAKABATI YA NGUO VYUMBANI
#HEATER
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#PARKING KUBWA
PIA KUNA SERVANT COTER YA CHUMBA NA SEBULE NA CHOO
BEI NI 450,000/= X 6
🇹🇿 NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO MBEZI MWISHO NJIA ILIYOWEKWA LAMI MPYA YA KUELEKEA MAKABE KUPITIA SANT ANSI PRIMARY SCHOOL AU MADUKANI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI AU DALADALA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Contact: 0672 673363