Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION MBEZI MWISHO BARABARA YA KWENDA MSUMI
KM 2.5 KUTOKA
MOROGORO ROAD MBEZI MWISHO
USAFIRI BAJAJI ZIPO
UKISHUKA UTAKUWA UMEFIKA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 20
UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
Inajitegemea yenyewe kwenye fensi
Ipo peke yake
Ina vyumba 3 vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule kubwa sana na dnning room kubwa Jiko
Ina makabati kira chumba
KODI YA PANGO
(300,000)
X 6
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU
SIMU 0659336751 WSP 0786085637