Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


STAND ALONE HOUSE FOR RENT AT MBEZI MAKABE MSAKUZI ๐น๐ฟ
KODI: TSH. 400,000/= x 6
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA IKIWA CHUMBA KIMOJA NI MASTER, SEBLE KUBWA, DINNING ROOM, JIKO NA PUBLIC TOILET