Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







:
NYUMBA KUBWA YA KISASA INAYOJITEGEMEA KWENYE FENSI
KUBWA YA UKUTA NA IMEZUNGUSHIWA WAYA WA UMEME (FULL SECURITY) INAPANGISHWA
BEI NI 700,000/= X 6
NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA PIA KUNA JIKO LA NJE ZURI
#PUBLIC TOILET
#STORE KUBWA
#AIR-CONDITION
#GARDEN
#CAR PARKING
BEI NI 700,000/= X 6 MAONGEZI YAPO KIDOGO
#NYUMBA HII NZURI YA KISASA IPO MBEZI MWISHO NYUMA YA STAND KUU YA MABASI YA KWENDA MKOANI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0716 776247
0754 221168