Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







OYAAA, NYUMBA MZURI SANA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA,
NYUMBA HII KALI SANAAAA IPO TEMBONI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI KM/ 1,5 KUTOKA MOROGORO ROAD
SIFA ZA NYUMBA
==============
VYUMBA VITATU VYAKULALA KIMOJA MASTAR, SEBULE KUBWA SANA, DINING KUBWA SANA, JIKO KUBWA SANA,
INATAILIZY GYUPUSAM ALUMINIUM
NDANI YA FENSI PEVING BLOCK
FUL A/C
MAZINGIRA MAZURI MNOOOO BONGE LA ENEO ATA UKIWA NA SHEREHE UNAFANYA
KODI 600,000/ X 6
KUONA NYUMBA HII ELFU 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
CONTACT
0742260844
0657384670