Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE MBEZI KWA MSUGURI DK7 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
-------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Maji yana flow
Full air condition
Garden safi
Stendbay generator
Kuna sehemu ya kupumzika
Ndani ya fence
Parking space kubwa
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 750,000/=ร6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 7.5
-----------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#Dalali_big_kimara
KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐