Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


STAND ALONE > STAND ALONE INAPANGISHWA
MBEZI MWISHO KARIBU KABISA NA ROUND ABOUT YA DARAJA LA MAGUFULI BUS TERMINAL..
💥KODI YAKE 600K X6
NYUMBA KUBWA INAYOJITEGEMEA NDANI YA FENCE
INAPANGISHWA
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MBEZI MAGUFULI TERMINAL NI DAKIKA 5 TU KWA MIGUU..
SIFA ZA NYUMBA::--
VYUMBA VITATU VYA KULALA NA VIWILI KATI YA HIVYO, NI MASTER BEDROOMS SEBURE KUBWA, DINNING MAJIKO MAWILI, NDANI NA NJE PAMOJA NA STORE MAKABATI SAFI, NA PUBLIC TOILET NZURI YA NDANI
NYUMBA BADO NI MPYA KABISA,
TILES JIPSUM, SLIDE WINDOW NDANI YA FENCE YA PEKE YAKE PARKING KUBWA.
UMEME LUKU YAKO PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI
ILIPWE SHILINGI LAKI SITA KWA MWEZI NA MUDA WA MALIPO NI MIEZI SITA
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA
SERVICE CHARGE NI TZS.20000
🏘️🇹🇿WELCOME.. 📞0677210673