Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
๐ APARTMENT KALI SANA HII JAMANI USIKOSE
IPO MBEZI STAND YA MAGUFULI
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MABASI NI DAKIKA 15 KWA MGUU
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
PUBLIC TOILET YA KISASA
JIKO KUBWA SANA
FULL MAKABATI YA JUU NA CHINI
CCTV CAMERA
HEATER WATER
FENSI KUBWA
PARKING SPACE KUBWA SANA
FULL PEVING BLOCK
ELECTRIC FENCE
GARDEN SAFI
๐ฐKODI 700,000X MIEZI 4 , 5 au 6
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
NDUGU MTEJA PIGA SIMU #0725606710 Au 0783794666