Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbuyuni, Morogoro


Nyumba inapangishwa yakujitengeme yenyewe pekee yake kwenye fance inavyumba vitatu viakulala kimoja masta kodi laki 5 na 5 kwa mwezi nyumba ipo salasala mwisho wa lami njia ya kwenda kwa mkuu wa magereza kutoka lami dakika nne tu kuona nyumba elfu 20,000 Dalali saimoni kidevu mbuyuni
#0689138795whatsapp
#0758998074👈