Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam


🏡 NYUMBA YA KUJITEGEMEA INAPANGISHWA – VYUMBA 3 VYOTE MASTER | MBWENI JKT – DAR ES SALAAM
Fursa ya kipekee ya kupanga kwenye nyumba ya kisasa, iliyojengwa kwa ubora na nafasi ya kutosha kwa familia.
📍 Mahali: Mbweni JKT, Dar es Salaam
🏠 Aina: Stand Alone House (Nyumba ya kujitegemea)
🛏 Vyumba: 3 vyote ni Master
**🛋 Sebule kubwa
🍽 Jiko la kisasa
🌳 Garden nzuri
❄ Feni na A/C
🚗 Parking ya kutosha
💰 Kodi: TSh 1,500,000 kwa mwezi
🗓 Malipo: Kuanzia miezi 6
📎 Malipo ya dalali: Mwezi mmoja
📞 Wasiliana: #0689138795whatsapp
#0758998074👈
#StandAloneHouse #NyumbaInapangishwa #MbweniJKT #Vyumba3 #MakaziDar #RealEstateTZ