Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam
21/10/2024
NYUMBA INAPANGISHWA
LOCATION MBWENI UBUNGO
VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER BEDROOM DAINING SEBULE JIKO PABLICK TOILET MAJI UMEME PAVING BLOCK ELECTRIC FENCE
INA boy cota ya chumba Sebule jiko choo
Ukifika mil 1.3 inakuwa peke yako kwenye compaund
NYUMBA mpyaaa
BEI MIL 1,000,000 KWA MWEZI mil1.3 unakaa peke yako kwenye compaund
MALIPO MIEZI 6 FIXED
CONTACT WHATSAPP
0683983630
SEVICE CHAGE ELFU 20