Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mikocheni, Dar Es Salaam


Inapangishwa pamoja na fanicha
Bei USD 1200 maongezi yapo
Nyumba ina vyumba 3 vya kulala
Masta moja sebule. Na jiko na stoo
Na pabliki nyumba ipo froo ya. 5 Lifti
Ipo genereta pia ipo nyumba ipo
Mikocheni kutoka kituoni adi
Kwenye. Nyumba ni mita 150 kwenda
Kukagua. Nyumba tunachaji sh 20000
Sambamba na malipo ya dalali kodi
Ya mwezi mmoja. Baada ya kulipia
Nyumba piga sim
0784422099
0746218111
0715422099