Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Nala, Dodoma


Nala Golden Project 📍DODOMA
Unapata kiwanja cha SQM 450, kinachotosha kujenga nyumba ya kisasa yenye:
✅ Vyumba 3 vya kulala
✅ Sebule kubwa ya kifahari
✅ Dining room ya kisasa
✅ Public toilet
✅ Parking ya magari 3
‼️SIFA ZA MRADI‼️
✅Umbali wa mita 100 kutoka barabara kuu ya lami (Singida road)
✅Umbali wa km 8 kutoka Dodoma mjini
✅Huduma zote za kijamii zipo
✅Full document (Hati na Mkataba wa mauziano)
✅Barabara za mitaa zimechongwa
‼️BEI‼️
SQM 1 ni 20,000 Cash
SQM 1 ni 23,000 Installment
Unaanza na malipo ya kwanza ya 20% inayobaki unalipa kidogokidogo ndani ya miezi 12.
BEI YA SQM 450 (18 x 25)
💰 Bei ya Cash: TZS 9,000,000
💳 Malipo ya Kidogo Kidogo: TZS 10,350,000
➡️ Anza na: TZS 2,070,000
➡️ Lipia kwa miezi 12: TZS 690,000 kila mwezi
Call: 0657618231 ☎️
#rejaainvestment #rejaa #rejaainvestment #rejaainvestment