Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Namanga, Arusha
21/1/2025
Nyumba Nzima inapangishwa stand alone inajitegemea
Location tegeta namanga
Bei million 1 Kwa mwezi
Miezi 6
Vyumba 3 kimoja master bedroom sitting room kitchen cabinets dinning room public toilet
Contact 0745010009