Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Nyasaka, Mwanza
NYUMBA MPYA INAPANGISHWA NYASAKA
-ina vyumba vitatu vya kulala ( self contained moja ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet
-nyumba ina servant quater, CCTV camera, AC, car parking space, water reserve tank, garden na public toilet ya nje
-kodi Mil 7 kwa mwaka
-malipo ni miezi sita
NB:-nyumba moja ndani ya fensi
☎️ 0743220097