Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Nyegezi, Mwanza







NYEGEZI MAJENGO MAPYAA
NYUMBA INAPANGISHWA
VYUMBA VITATU VYA KULALA SELF 1
SEBURE
DINNING
JIKO
STORE
R.W.TANK
CAR PARKING
P.TOILET
BEI MIL 4.5 KWA MWAKA
MIEZI 6 RUKSA
0787512343
NB
MITA 50 TOKA KWENYE RAMI ,NDANI KUNA NYUMBA 4