Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Sakina, Arusha
NYUMBA INAPANGISHWA SAKINA ARUSHA
Ina Vyumba Vitatu
Ina Master Moja
Ina dinning
Ina Sebule
Ina Jiko Lenye Makabati
Ina Servant Quater
Ina Parking
Ina Heater System
INAJITEGEMEA KWENYE COMPOUND
MAHALI:Sakina
KODI:650000/= kwa mwezi
UMBALI:Mita 300 Kutoka Lami
.
CONTACTS- 0683545452