Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam
House for rent
Date listed
14 12 2024
Direction
Sinza kwa lemmy
Fixed price
Laki 450 000 kwa mwezi kodi miezi 6
Service charge yakuona nyumba ni shi 30000 pia nakodi yamwezi 1 wadalali
3bedroom sting room chumba kimoja nimastar kitchen pablic toilets ipo ndani yafens piga cm usichelewe
Notes
Dc
Real estate campany
Epuka matapeli fanya kazi namadalali wenye ofis nawaliosajiliwa
Fika ofisin kwetu sinza madukani near manyala hotel
Call
0688 49 82 99
0758 43 02 45 whatsAp