Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba nzuri ya kisasa INAPANGISHWA
BEI.LAKI 5 TU MALIPO MIEZI 6 AU MWAKA
📍 TABATA SEGEREA AFTER MAGEREZA
UMBALI.DAKIKA KUTOKA KITUO CHA DALADALA NI DAKIKA 1 KWA MGUU
Dar es salaam - Tanzania
▫Vyumba Vitatu(3) vya Kulala
◇kimoja ni Master Bedroom
▫Sitting room kubwa
▪︎ Dining room
◇ Kitchen
▫inside Public toilet
PLOT SIZE UNAPARK MAGARI MADOGO 3 TU
◇maji safi dawasco umeme vyote vipo
◇
Mawasiliano Zaidi.
0657 777 771
0747 257 771
0620 579 936
DALALI TANZANIA 🇹🇿
Kasinge Katonda 2024