Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







STAND ALONE YA NGUVU INAPANGISHWA
IPO TABATA KINYEREZI KITUO KIFURU DSM UMBALI WA DK 5 TU KUTOKA LAMI
KODI 600,000/=×6
KUONA NYUMBA TSH 20,000/=
SIFA YA NYUMBA
###############
VYUMBA 3 ,VYUMBA 2 MASTER VYOTE VINA MAKABATI.
SEBULE KUBWA
DINNING ROOM
JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
CHOO NA BAFU VYA FAMILIA
CCTV CAMERA
ELECTRIC FENCE
FULL A/C
WI-FE
GATE LINAFUNGULIWA KWA REMOTE
PARKING KUBWA
MAJI DAWASCO YANATOKA NDANI
BARABARA SAFI KABISA