Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam
Nyumba inapangishwa Tabata Segerea Kwa Bibi. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE.)
- Vyumba vitatu (viwili master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko kubwa lenye makabati
- Public toilet
- Water reserve tank
- Maji 24/7
- Dakika 1 kutoka kituoni
Kodi 450,000/= MIEZI SITA.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 📞 0688 412 890.