Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Tabata Segerea.
- Vyumba vitatu
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Maji 24/7
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Paving
- Parking
- Wapangaji wawili
- Dakika 3 kutoka kituoni
Kodi 300,000/=.
UKARABATI ANAFANYA IKIWEM RANGI NA MAKABATI.
KUINGIA NI TAREHE 25 MWEZI WA TATU.
KUONA NA KULIPIA RUKSA.
📞 0688 412 890.