Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Tabata Segerea Mwisho Viwanja Vya Benki. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko
- Public toilet
- Water reserve tank
- Maji 24/7
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Njee kwenye master kuna balcony
- Dakika 2 kutoka kituoni
UKARABATI WA RANGI N.K. ANAFANYA.
KODI 700,000/=.
MUHITAJI PIGA ๐ 0688 412 890.