Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Tabata Segerea Viwanja Vya Benki. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE)
- Vyumba vitatu (kimoja)
- Sebule
- Dinning
- Jiko lenye makabati
- Store
- Public toilet
- Maji 24/7
- Garage
- Paving
- Parking
- Fence
- Dk 2 kutoka kituoni
Kodi 500,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.